MTANGAZAJI

AUDIO:SIKILIZA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKIFAFANUA MBINU ZINAZOTUMIKA KULIPWA WTUMISHI HEWA NCHINI TANZANIA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametoa leo ufafanuzi wa mbinu zinazotumiwa kulipwa kwa watumishi hewa huku akitaja Wizara za Taasisi walipowatumishi hewa ambao hadi kufikia Machi 31,2016 wamebaini kuwepo kwa watumishi hewa 5,507 nchini Tanzania huku akieleza kuwa Shilingi Bilioni 54 zimekuwa zikipotea kutokana na malipo kwa watumishi hewa.Sikiliza Rais Magufuli akitaja mbinu kadhaa zinazotumiwa kulipa watumishi hewa.


Katikati ya Mwezi Machi 2016 Rais Magufuli aliwaagiza wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia zoezi la kuwaondoa watumishi hewa wote katika orodha ya malipo ndani ya siku 15 awe amepewa taarifa na wakuu hao wa mikoa.


No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.