ARUSHA:RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA17 WA KAWAIDA WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Rais Paul Kagame wa Rwanda akiweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha |
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akiweka saini ya
Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa
Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha leo |
Wanafunzi walioshinda mashindano ya Insha ya EAC wakipata selfie na viongozi baada ya Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha leo. |
Post a Comment