MTANGAZAJI

PICHA NA VIDEO-TAMASHA LA ANGEL MAGOTI LAFANA

Angel Magoti akiimba

Angel Magoti akiimba na Samweli Mwanzini
Angel Magoti akiimba na Baba yake,Mama yake na Mdogo wake
The Light Bearers
The Healing Brothers
Pishon Music Inc
Busy Bee
Waimbaji wa Kike wa Acappella Blessed Sisters nao walikuwepo


The Voice
Sonda ya Dilu
Oola Vocal Band nao walikuwepo
Barrett Belton Richard Mapunda
Samweli Mwanzini
VocappellaAngel Magoti akiimba na Melisa John

MC Nyando
Tamasha la kwanza la mwimbaji wa nyimbo za Injili Angel Magoti limefanyika jana katika ukumbi wa Russian Cultural ambapo lilihudhuriwa na vikundi mbalimbali pamoja na wadau wa nyimbo za injili huku likiwa la mafanikio,kutokana na nyimbo zilizoimbwa na mwimbaji huyo pamoja na vikundi vilivyokuwepo kugusa hisia za mioyo ya waliohudhuria tamasha hilo.Picha zote na Elly Chaboya

1 comment

Isaac said...

Lazima ilikuwa siku bora sana. Mungu ambariki sana Angel na wale wote walioshiriki katika tamasha hili. Mungu awatumie wote kama chachu ya kazi yake kwa njia ya uimbaji kwa utukufu wake pekee.

Mtazamo News . Powered by Blogger.