MTANGAZAJI

SANTURI MWONEKANO YA KWAYA YA INJILI FAMILY TOKA GOMA,DRC IMESHAKAMILIKA ANGALIA PICHA NA SIKILIZA HAPA



















Santuri Mwonekano ya waimbaji wa Kwaya ya Injili Family toka Goma,DRC imemalizika kutengenezwa ambapo itakuwa katika mfumo wa Drama,Norbert Morsheing ambaye ni mwalimu wa kwaya amezungumzia kuhusu tofauti ya video hiyo iitwayo Songambele na ile ya Ewe Musa waliyoitoa mwaka 2012 ikiwemo gharama na walichokifanya

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.