MTANGAZAJI

DAR ES SALAAM:WAFANYAKAZI WA NMB WAIFANYIA USAFI HOSPITALI YA SINZA,PARESTINA

Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas (tatu kushoto) ambaye ni Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Fedha wa Benki ya NMB, akimkabidhi Mganga Msaidizi Hospitali Sinza Parestina, Dk. Faith Mdee (wa tatu kulia) baadhi ya vifaa vya usafi ili vibaki vikitumika kusaidia zoezi la usafi katika hospitali hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wanaoishi Sinza na maeneo jirani wakijipanga kuanza kufanya usafi katiki Hospitali ya Sinza, Parestina ikiwa ni kuitikia mwito wa Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kutangaza siku ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ili kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishirikiana na wafanyakazi wa Hospitali ya Sinza Parestina wakifanya usafi maeneo anuai ya hospitali hiyo ikiwa ni kuitikia mwito wa Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kutangaza siku ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ili kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwa na wafanyakazi wa Hospitali ya Sinza Parestina katika picha ya pamoja ikiwa ni kumbukumbu mara baada ya kufanya usafi maeneo anuai ya hospitali hiyo ikiwa ni kuitikia mwito wa Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kutangaza siku ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ili kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.