DAR ES SALAAM:MWIMBAJI WA KWAYA YA KURASINI AFARIKI DUNIA.
Marehemu Mama Stansila Billy George (katikati) enzi za uhai wake |
Habari ya kusikitisha nyingine hii leo ni kwamba Mwimbaji wa sauti ya pili wa Kwaya ya Kurasini Mama Stansila Billy George amefariki ambapo Msiba uko Iringa.
Mwimbaji huyo alifariki alfajili ya kuamkia jana Oktoba 11,2015 na amekuwa akiimba na Kwaya ya Kurasini toka mwaka 2005 huku maziko yake yakitarajiwa kufanyika kesho Oktoba 13,2015.
Mkuu wa Mawasiliano wa Kwaya ya Kurasini amezungumzia tukio hilo
Post a Comment