MTANGAZAJI

VIDEO NA PICHA ZA WAIMBAJI WA LIGHTBEARERS,ACACIA SINGERS NA MARAFIKI WALIPOKUTANA BAGAMOYO


Maelezo toka kwa mwongozaji wa watalii






Mojawapo ya fukwe za Bagamoyo


Waziri Barnabas akimtambulisha miongoni mwa waimbaji wa Acacia ambaye anataji kufunga ndoa hivi karibuni









Waimbaji wa LightBearers,Acacia Singers na Marafiki wa LightBearers Oktoba 11,mwaka huu walipata nafasi ya kukutana kwa mara ya kwanza na kutembelea mji wa kihistoria wa Bagamoyo ambako walijifunza mambo mbalimbali yahusuyo historia ya mji huo mkongwe na biashara ya watumwa.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.