PICHA:MWILI WA MAREHEMU ESTER MHANDO WAAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Mch Geogrey Mbwana akihutubia mamia ya waombolezaji |
Mume wa Marehemu Dr Herry Muhando wa pili toka kulia |
Watoto na Wajuu wa Marehemu |
Mhandisi Mayunga akiimbisha wimbo |
Mch Geofrey Mbwana akimfariji Dr Herry Mhando |
Mwili wa Marehemu ambaye alikuwa mke wa Dr Herry Muhando umesafirishwa kwenda Hedaru ambapo mazishi yanatarajiwa kuwa kesho Februari 15 mwaka huu.
Ibada ya kuuaga mwili iliendeshwa na Makamu wa Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mch Geofrey Mbwana ambaye alihimiza watu waliohudhuria kuacha alama zitakazokumbukwa hata baada ya wao kutoweka duniani kama ilivyo kwa marehemu Ester.
Post a Comment