MTANGAZAJI

KIGALI:TED WILSON AZINDUA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA CHA WAADVENTISTA WA SABATO







 

Dr Ted Wilson akiteta jambo na Dr Blasious Ruguri
Waimbaji wa Ambassadors of Christ waliimba
Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika ya Kati cha Kanisa la Waadventista Wa Sabato kilichoko Gishushu,Kigali Rwanda kimezinduliwa rasmi jana na Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Dr Ted Wilson akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali wa Kanisa hilo katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati(ECD)

Ted ambaye yuko katika ziara ya kikazi katika ukanda huo aliwasili juzi mjini Kigali akitokea Juba,Sudani ya Kusini huku akitarajiwa kuelekea Uganda kabla ya kurejea Marekani yaliko makao makuu ya kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.