PICHA:TAMASHA LA UZINDUZI WA DVD YA PILI YA TUCASA MABIBO HOSTEL CHOIR
TUCASA Mabibo Hostel Wakiimba |
Mgeni Rasmi Mama Anna Matinde akihutubia |
Mgeni Rasmi Mama Matinde akiwa na Mwinjilisti Mama Jeremiah |
Katibu wa TUCASA Mabibo Hostel akisoma Risala |
Mzee wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Ubungo Ndugu Mwakalonge akitoa somo |
Jacob Mang'ombe akipiga kinanda |
TUCASA MUHAS Choir wakiimba |
Voice of Hope |
Miriam Chirwa alikuwepo |
Vega Cappela toka IFM |
TUCASA toka Chuo cha Usafirishaji |
Yombo SDA Choir nao walikuwepo |
Philipo na rafiki zake |
TUCASA Nyerere Campus (UDSM) |
The Family Music wakiimba |
Post a Comment