MTANGAZAJI

DAR ES SALAAM:PICHA ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA ACACIA SINGERS

Novemba 9,2014 Acacia Singers toka jijini Dar es salaam walifanya sherehe ya kutimiza miaka 10 toka waanze kuimba .
Sherehe hizi za miaka 10 zimefanyika katika ukumbi wa Mwenge Social Hall
Mwongozaji wa Sherehe Mtangazaji Maduhu(katikati) akizungumza na waanzalishi wa kikundi cha Acacia ambao ni Laven Masika Mwenyekiti wa Acacia Singers (kulia) na Kabuche(kushoto) ambaye sasa ni kiongozi wa kikundi cha Triumph Generation 
Light Bearers walikuwepo
 Soul Brothers Advent toka Mwanza nao walikuwepo
 Acacia Singers wakiimba
Waimbaji wa Acacia na waimbaji wa Light Bearers walikuwa wakiimba wimbo wa pamoja.
Waimbaji waanzilishi wa kikundi cha Acacia wakiimba wimbo wa pamoja.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.