MTANGAZAJI

VIONGOZI WA WAADVENTISTA WA SABATO JIMBO LA MASHARIKI WALIPOTOA MSAADA KWA WAHANGA WA MAFURIKO KILOSA,MOROGORO


Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera akipokea moja ya magodoro toka kwa askofu Jimbo la Mashariki mwa Tanzania (ETC) Mch Mark Walwa Malekana.
Ofisi ya Kanda ya Mashariki mwa Tanzania ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato (ETC) hivi karibuni ilitoa  msaada wa Magodoro 140,Mchele kilo 1000,Sukari kilo 400, sabuni na vitu mbalimbali kwa wahanga wa mafuriko huko Magole,Kilosa mkoani Morogoro vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 10.

Hii ni awamu ya kwanza ya msaada toka kwa Kanisa hilo,awamu ya pili itahusisha michango iliyochangwa na waumini wa makanisa mbalimbali ya kanda hiyo 

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.