MTANGAZAJI

SIKILIZA KIPINDI CHA JAMII PRODUCTION-MAJUKUMU YA MAMA KATIKA FAMILIA


Muendeshaji wa kipindi cha FAMILIA Dada Georgina Lema akiongea nano katika Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion kwenye maada ya Majukumu ya Mama katika Familia

Mubelwa Bandio pia akichangia maada katika kipindi cha Familia kinachoendeshwa na Dada Georgina Lema.

Baybe Mgaza akichangia kwenye  Kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Productuion...Majukumu ya Mama katika Familia.

Mgeni wetu rasmi kwenye kipindi cha FAMILIA  walikua ni Mayor Mlima.

Karibu katika kipindi hiki cha FAMILIA kutoka Jamii Production.

Katika kipindi hiki, tunaendeleza mjadala juu ya WAJIBU WA MZAZI KATIKA FAMILIA na kwa wiki hii, tumejadili WAJIBU WA MAMA KATIKA FAMILIA.

Mbali na washiriki waliokuwa studio, pia tuliweza kusoma maoni toka kwa wasikilizaji wetu wanaoacha katika kurasa zetu za FACEBOOK
Karibu uungane nasi


No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.