MTANGAZAJI

DVD YA GOD'S MESSENGERS KUZINDULIWA JIJINI MWANZA


DVD ya kwanza ya waimbaji wa GOD'S MESSENGERS wa jijini Mwanza iitwayo Mwisho wa Safari itazinduliwa katika ukumbi wa Gold Crest Mwanza karibu na Mwanza Hotel Februari 24,mwaka huu kuanzia saa saba mchana hadi saa 12 jiioni

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.