MTANGAZAJI

PICHA ZA WAIMBAJI WA KEKO SDA CHOIR NDANI YA MORNING STAR RADIO DAR ES SALAAM

Baadhi ya waimbaji wa Keko wakiwa ndani ya studio za Morning Star Radio leo baada ya mahojiano katika Lulu za Injili
Mtangazaji Maduhu (aliyevaa miwani)akiwa na baadhi ya waimbaji wa Keko SDA Choir

Waimbaji hawa kesho kuanzia saa 3 asubuhi watakuwa na tamasha la uimbaji litakalokutanisha kwaya 11 za makanisa ya waadventista Wasabato ya jijini Dar es salaam,tamasha hilo litafanyika kwenye viwanja vya Kanisa la Waadventista Wasabato Tekeme,Miongoni mwa kwaya hizo ni Temeke,Kurasini,Yombo,Kijichi,Nazareti n.k

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.