MTANGAZAJI

WAGONJWA WALAZWA NA KUTIBIWA NJE MUHIMBILI LEOHali aliyoikuta Mtangazaji leo katika hospitali ya rufaa Muhimbili ambapo wagonjwa walikuwa wamelazwa nje ya wodi kwa kile kilichoelezwa kuwa kulikuwa kukifanyika usafi katika wodi zote zilizopo hapo

1 comment

Anonymous said...

Sasa hawa manesi nao, mh! Nguo gani hizo sasa.

Mtazamo News . Powered by Blogger.