MTANGAZAJI

MASHINDANO YA NYIMBO ZA INJILI HUKO LONDON UINGEREZA YAFANYA

Kijana toka Mwanza Tanzania,Baraka Achayo(mwenye miwani mieusi) akiimba katika kwaya ya Chuo Kikuu cha Magharibi mwa Uingereza (UWE) kwenye mashindano ya nyimbo za Injili yaliyokutanisha kwaya toka vyuo vikuu vinane nchini humo hiyo ilikuwa ni July 16 ,2011 ambapo UWE walishika nafasi ya pili.

Kwaya ya Chuo cha Imperial ikiimba

Majaji wakiwa kazini

Umati wa watu ukifuatilia kwa makini shindano hilo

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.