MTANGAZAJI

MIAKA 50 YA UHURU, IMETUFANYIA NINI? KARIBU KWENYE KONGAMANO JUNI 17

Mwaliko kwa wanachama wote wa Youth Develpment Network Tanzania na
vijana wapenda maendeleo,Tarehe 17 June - saa 4 Asubuhi mpaka 10
jioni, katika Makumbusho ya Azimio la Arusha kutakuwa na kongamano
kubwa la vijana kutathimini miaka 50 ya Uhuru, sambamba na kupokea
mapendekezo ya vijana juu ya nini kifanyike kuharakisha Maendeleo yetu
na kukuza ajira kwa vijana.

je tunataka miaka 50 ijayo iwe je , pia kupitia sababu ya Tanzania

kuwa hapa ilipo leo na changamoto zetu vijana .

Tutaongozwa na Prof. J. Maida kijana wa zamani, watatuambia toka uhuru

hadi leo nini amejifunza? na nini tumekipoteza ama nini tufanye.
Wengine ni Dr Nguma, na Dr Anne Perera toka Newziland atazungumzia the
role of youth katika kujenga taifa imara

Tafadhali sana waalike vijana wote wanyekutaka mabadiliko ya kweli ya

kiuchumi na kimaendeleo.

kama una Mada (presention) kuhusu tumetoka wapi, toka huru na

tunawenda wapi , Tutumie mapema tuipitie na tuiweke kwenye ratiba.

tunawakaribisha wote wenye mapenzi mema kwa taifa letu, kijana wa sasa

na wa zamani pia. Tutapata soft drinks

wasiliana nasi kwa no 0788 153738


Je vijana mnataka mabadiliko?


usikose.


Elipokea Urio

YDN President

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.