MTANGAZAJI

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA-TCRA WALIPOIKAGUA MORNING STAR RADIO 105.3 FM

Mmoja wa Maofisa wa TCRA akikagua nyaraka mbalimbali za Morning Star Radio
Mmoja wa mafundi wa Morning Star Radio akitoa maelezo ya mmojawapo ya vifaa kwa Mhandisi Kisaka wa TCRA
Meneja wa Morning Star Radio Richard Khaniki akitoa maelezo kwa afisa wa TCRA

2 comments

Unknown said...

Basi nawaambia, palikuwa na stori hapo hadi nimesahau KITU changu cha huko.

Baadaye kidogo wajameni ngoja nikatafute msosi.

Eric said...

Ha ha ha ha! uliwakimbia ghafla!!!

Mtazamo News . Powered by Blogger.