VITA BAINA YA DREVA,KONDAKTA NA WANAFUNZI
Dreva wa basi akimzuia mwanafunzi kupanda ndani ya gari |
Wanafunzi wakipigana ngumi na kondakta aliyewazuia kupanda ndani ya gari |
Dreva akigombana na mwanafunzi |
Wanafunzi wakichukua mfuko wao baada ya ugomvi |
Gari likiwa linaondoka baada ya purukushani kati ya dreva,kondakta na wanafunzi katika kituo cha gereji barabara ya Mandele inaonekana gari hili ni kwa ajili ya wanafunzi maana magari yenye rangi za njano ni kwa ajili ya kubeba wanafunzi alishuhudia gari hili likiwa na abiria wanaoelekea Ubungo
Post a Comment