MTOTO MIRIAM CHIRWA NDANI YA MORNING STAR LEO
Mtoto mwenye ulemavu ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za Injili akiwa na albamu mbili hivi sasa Miriam Chirwa akiwa na mdogo wake ambaye pia ni mlemavu pamoja na wazazi wao muda mfupi baada ya mahojiano maalum katika kipindi cha Lulu za Injili hii leo ambapo ilikuwa ni maadhimisho ya siku ya MTOTO WA AFRIKA,Miriam ametunga wimbo maalum ambao kwa ajili ya siku hii unaokwenda kwa jina la Imarisha Familia.
Post a Comment