JAMII YETU YAENDELEA KUWA HEWANI
Mtangazaji akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu wa Ngozi wilaya ya Kinondoni,Dar es salaam ambaye pia ni mtunzi na mwimbaji Agustino Musisi mara baada ya kumaliza mahojiano ya Kipindi cha Jamii yetu kinachozungumzia matatizo na changamoto mbalimbali zinazotokea katika jamii,kipindi hicho husikika kila jumatatu saa 10 jioni hadi 11 jioni na Alhamisi saa 9 hadi saa 10 jioni
Post a Comment