MTANGAZAJI

WANAFUNZI WA IFM NDANI YA MORNING STAR


Mtangazaji akiwa na wanafunzi wa mwaka wa pili wa shahada ya kwanza ya Sayansi ya Komputa katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM Stanely Manyonyi na Gidioni Mipawa hii leo muda mfupi baada ya kipindi cha Jamii Yetu ambacho kilikuwa kikizungumzia changamoto za teknolojia ya habari kwa vijana

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.