MTANGAZAJI

TAMASHA LA TM MUSIC NDANI YA DAR ES SALAAM

TM MUSIC ikishirikiana na MAUA RECORDING STUDIO  imeandaa Tamasha la uzinduzi wa toleo jipya la DVD yao ijulikanayo kwa jina la TUTAMWONA MWOKOZI ambayo imerodiwa live na kuwahusisha waimbaji zaidi ya 100  wa hapa nchini Tanzania.

Tamasha hilo linalosubiriwa kwa hamu na wapenzi wa nyimbo za injili litafanyika Juni 6,mwaka huu kwenye ukumbi wa City Christian Center,Upanga jijini Dar es salaam kwa maelezo zaidi piga simu nambari +255  716 3133 488 ama +255  715 836 583

Kiingilio kwenye tamasha hilo kitakuwa ni watu maalum shilingi elfu 10,vitu vya kawaida sh.5000 na watoto sh elfu 2000.Kwa maelezo zaidi sikiliza Morning Star Radio 105.3 FM kwa wale walioko nje ya Tanzania waweza kutusikia kupita Hope Channel International

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.