MTANGAZAJI

MTANGAZAJI NDANI YA MORNING STAR 105.3 FM,MIKOCHENI B,DAR ES SALAAMHii ndo ofisi mpya inayoniweka jijini Dar es salaam baada ya kupata uhamisho wa kikazi kutoka Morogoro.Karibuni sana hapa ofisini kwa ajili ya jambo ambalo unaona linaweza kuisadia jamii katika nyanja mbalimbali za maendeleo ya watanzania nje na ndani ya nchi yetu niipendayo ninamaanisha Tanzania

3 comments

Neema Urassa said...

Mna offisi nzuri sana!

Anonymous said...

Good brief and this fill someone in on helped me alot in my college assignement. Thank you seeking your information.

Gulindwa said...

office iko vizuri Maduhu Bwana akubariki unapo fanya kazi yake ya kutangaza Habari njema ya Milele watu ajiandae kuja kwake

Mandago

Mtazamo News . Powered by Blogger.