HAPO VIPI??
Habari wasikilizaji wangu popote mlipo natumaini mko salama,kwa muda sikuwa hewani ni kutokana na kupata uhamisho wa kikazi toka Morogoro na kuja jijini Dar es salaam katika kituo cha redio cha Morning Star 105.3 fm kilichopo Mikocheni B. Kwa hiyo endelea kunifuatilia katika kurasa hizi kama kawaida,japo kuna changamoto ya internet si kama ilivyokuwa Morogoro ambapo ilikuwa muda wote kuna connection.
Post a Comment