WATANZANIA HATUSOMI VITABU
Afisa Elimu Ngazi ya Sekondari Manispaa ya Morogoro Jasper Bitwale akifafanua jambo wakati wa tamasha la wiki ya vitabu Tanzania lililofanyika katika maktaba ya mkoa wa Morogoro, kushoto ni Makamu Mkutubi wa maktaba hiyo, Jacquline Mshana,Tafiti zinaonesha watanzania hatuna utamaduni wa kusoma vitabu(Picha na Juma Mtanda)
Post a Comment