MTANGAZAJI

WATANZANIA HATUSOMI VITABU


Afisa Elimu Ngazi ya Sekondari Manispaa ya Morogoro Jasper Bitwale akifafanua jambo wakati wa tamasha la wiki ya vitabu Tanzania lililofanyika katika maktaba ya mkoa wa Morogoro, kushoto ni Makamu Mkutubi wa maktaba hiyo, Jacquline Mshana,Tafiti zinaonesha watanzania hatuna utamaduni wa kusoma vitabu(Picha na Juma Mtanda)

1 comment

Anonymous said...

kaka naona umerudi kazini, vp shem wetu hajambo?

Mtazamo News . Powered by Blogger.