MTANGAZAJI

MTANGAZAJI AMEREMETA

Mtangazaji akiwa na mkewe Beatrice Mathias Masawe mara baada ya kufunga pingu za maisha septemba 27,mwaka huu mjini Morogoro


Mtangazaji akiimba wimbo baada ya kufunga pingu za maisha
Kwa muda mrefu nilikuwa kimya kutokana na kutingwa na maandalizi ya mchakato wa kufunga pingu za maisha na shemeji/wifi yenu,napenda kutoa shukrani za pekee kwa ndugu, wadau na marafiki zangu duniani kote waliojitolea kufanikisha tukio hili la kihistoria kwangu.

10 comments

Anonymous said...

kaka saaaaaaaaaaaaaaaaaafi...kila la heri....mdau wa blog

Jestina George said...

Hongera sana Mtangazaji, Mungu aibariki ndoa yenu.

PASSION4FASHION.TZ said...

Hongera sana kaka,mbarikiwe sana katika ndoa yenu,izae matunda mema,sasa mbona dada yako hakupata kadi ya mualiko???

LATENS said...

HONGERA MWANA

Anonymous said...

Wow! Nimefurahi sana kujua kuwa mmefunga pingu zamaisha. Mungu Baba awatangulie na mumtegemee katika kila jambo na kuwa waaminifu zaidi kwake. Mmbarikiwe sana.

Mdau (Calgary, AB)

Veila Nkya said...

Jamani Beatrice umeolewa mdogo wangu.Tulisoma wote magogoni miaka ya nyuma nimefurahi kukuona umependeza umejipunguza jamani nimefurahi sana.Mungu akupe maisha ya baraka katika ndoa yako

Obeid Kitalima said...

Hongera sana Mtangazaji, nakutakia maisha ya furaha katika nyumba yenu mpya.

Anonymous said...

Amen! Mlipendeza jamani! Atlast the dream came true!!Hongera mdia naamini Mungu aliyewakutanisha atahakikisha anawalinda na kuwapatia kila kilicho chema katika ndoa yenu! Nimesikitika nimekosa fungu la
u- Mc!! Amani alichukua nini? tehetehe!! Msalimie Beatrice!

mdau (US)

Anonymous said...

Wasukuma kwa kuoa Wachaga mmezidi. Hakuna wasichana wazuri huko Usukumani? Aibuuuuuuu!!!!!!!!!!

Anonymous said...

yaani katika mambo yote uliyofanya ili ni kiboko yao ila kumbuka kuwa ndoa ni kama kiini macho/kitendawili ambacho hakiteguliwi isipokuwa na wanandoa wenyewe.Kila la heri wewe na huyo mshulami wako.

Mtazamo News . Powered by Blogger.