MTANGAZAJI

BAO NAO WAPO SHIMIWI MOROGORO

Mchezaji wa mchezo wa bao katika wizara ya Mambo ya Nje Raphael Barua kushoto akimwangalia kwa umakini mpinzani wake, Lameck Mboje kutoka Tamisemi akitandaza kete wakati wa mashindano shimiwi kwa mchezo huo uwanja wa Jamhuri mjini hapa, Lameck Mboje kulia alishinda kwa bao 1-0.(Picha na Juma Mtanda)

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.