MTANGAZAJI

AJALI YA TRENI MOROGORO

Hivi ndivyo Treni iliyokuwa ikitokea Jijini Dar kuekea mikoa ya bara ikiwa imepinduka katika eneo la stesheni ya Mazimbu-Mkata nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro na kusababisha ajali.

2 comments

Anonymous said...

duh, hapo kweli kapona mtu?? bongo hatufiki kwa hali hii.....

Anonymous said...

Hii ni hatari sAna kwa hao maafisa Jeshi kujeweka hapo chini ya hilo behewa linaloninginia,likichoropoka hapo si watapondwa wote kabisa!
Umasikini unachangia watu kuwa majangiri kutegua misumari kwenye mataruma ya reli kisa watu wapoteze maisha wao wakiwaibia. NGUVU ZAO ZOTE WAMEISHIA PATUPU!

Mtazamo News . Powered by Blogger.