MTANGAZAJI

KONGAMANO LA UIMBAJI LILIVYOFANA-MOROGORO

Dr Isack na mwalimu wa chuo cha utabibu IMTU ambaye pia ni mwimbaji wa kwaya ya Magomeni akiimba na kupiga gitaa


Mtangazaji naye hakuwa nyuma katika kuimba kwa hisia kaliMbaraka Mchome ambaye ndio alikuwa mratibu wa kongamano hili naye sasa amekuja na upigaji wa gitaa na kuimbaKijana Mugisha toka Dar es salaam akipiga gitaa na kuimba,kijana huyu anapapasa kinanda,anapiga gitaa na kuimba


Ngomoi Fadhili akiwa na mdogo wake wakiimba


Mugisha akipapasa kinanda kwa makini


Kijana Chacha toka Dar es salaama naye alikuwepo


Jamaa toka nchini Zimbabwe pamoja na kuwa mbali na nyumbani lakini bado yu aimba na akina dada toka Dar es salaam


Kundi la Mugisha toka Mikocheni jijini Dar es salaam


Hawa ni Christian Daugthers wakiimba kwa umakini


Si kwamba kutokana na masomo wanakosa muda wa kuimba bali wako safi katika uimbaji ni wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kilakala


Kilakala SDA Choir na sare yao nzuri walipendeza


Hii ni kwaya mpya ya Visole Chini SDA


Wenyeji wa kongamano hilo Mashahidi SDA Choir


Magomeni SDA Choir nao walikuwepo ndani ya mji kasoro bahari


Mikocheni A SDA ChoirHawa ni Temeke SDA ChoirHivi karibuni katika Kanisa la Waadventista Morogoro mijini kulifanyika kongamano la uimbaji wa nyimbo za injili na Makambi na kukutanisha kwaya mbalimbali na vikundi toka Dar es salaam na Morogoro .

4 comments

Mwema Jr said...

Dah, kaka Maduhu..nimemiss hili kongamano...safari nyingine kaka...nitaudhuria tu kwa neema.....kila la kheri...

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Bwana Maduhu;

Umenikumbusha makambi enzi zile. Safi sana kwani inaonekana wapiganaji wa Yesu walikuwa makini kwelikweli.

Wabeja!

Nene Masangu
================

Anonymous said...

Kaka Maduhu sikuwepo, ila nimemuona Anodi akifanya mambo na kwaya ya Migomigo.
Duh, inaoenyesha kulikuwa na upako wakutisha!

Unknown said...

Bw. Maduhu, kazi nzuri sana nimeona waimbaji wetu wa Migomigo, it's a moving feeling to look at my former choir. God will make us meet once again. So long guys.

Mtazamo News . Powered by Blogger.