MTANGAZAJI

USAFIRI WA TRENI ZA BONGO
Mtoto ambaye jina lake halikuweza kupatika mara moja akiwa amebebwa na raia mwema huku askari polisi akimsaidia kumuingiza katika behewa la treni stesheni ya Mkata wakati mama yake akijandaa kumpokea mara baada ya ajali lakini hata hivyo kijana aliyekuwa akimpandiha mtoto huyo aliteleza na kudondoka chini.Waweza kupata picha na habari mbalimbali za watoto kwa kutembelea www.childrensinafrica.blogspot.com

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.