DR JOHN KISAKA (TULIA KWA YESU) KUZIKWA JUMAPILI
Dr na Mch.John Kisaka aliyefariki huko Nairobi Kenya alikokuwa amelazwa kwa muda mrefu anatarajiwa kuzikwa huko Chome,wilayani Same,mkoani Kilimanjaro siku ya jumapili Julai 19,mwaka huu.
Blog hii inawapa pole ndugu jamaa na marafiki popote walipo duniani wakati huu wa kuondokewa na mpendwa wetu ambaye kwa kweli atakumbukwa sana kwa kutoa maneno ya faraja na hata kupatiwa jina la Tulia kwa Yesu.

Post a Comment