Kundi la uimbaji wa nyimbo za injili wa aina ya ACAPPELA,Harvest Brothers toka Arusha-Tanzania enzi hizo wakati likiwa katika Chuo Kikuu cha Arusha,nilisikia walitoa albamu yao,msikilizaji wangu kama unazo nyimbo za hawa jamaa tafadhari naomba unitumie nizirushe kwenye vipindi vya AWR.
Post a Comment