2 comments
-
-
Hi! Mtangazaj?
Hiyo inakuwa vipi? Yaani unataka kutuambia kuwa hata kazi ya ukahaba,ushoga,kuuza bangi au madawa ya kulevya ni kazi? Wadau hapo vipi? - May 27, 2009 at 3:16 AM
-
-
mtangazaji hapo kweli umechemsha kwasababu hiyo sentensi yako inayosema kazi ni kazi bado haijakamilika ni sentensi tata kama unabisha nenda kaibe kama wananchi wenye hasira kali hawaja kutoa manundu.
- May 27, 2009 at 5:13 AM
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment