MTANGAZAJI

CHONDE CHONDE MAMALISHE

Baadhi ya Mama Lishe wanaouza vyakula katika kituo cha daladala cha Morogoro wapakua chakula tayali kwa kuliwa,Hapa ni chakula kwa afya bora ama bora chakula kwa afya? Je nani wa kulaumiwa serikali ama wananchi na vipi kama akina mama hawa wangekuwa na sehemu maalum kwa ajili ya biashara yao hii

1 comment

Anonymous said...

mama lishe wanafanya wajibu wao kutokana na viwango vyao na mitaji yao jukumu kubwa unalo wewe mlaji kula ama kuacha. lakini misosi yao bei rahisi halafu mitamu sijui wanaweka nini?

Mtazamo News . Powered by Blogger.