MTANGAZAJI

BINADAMU WOTE NI SAWA!!!!

Je tunawajali vipi watu hawa?

3 comments

Anonymous said...

binadamu wote ni sawa ila tumetofautiana katika viwango vya kufikiri,uelewa na akili kwa mujibu wa picha hiyo ya kichaa huyo binadamu wote ni sawa kwani kila binadamu anaasili ya ukichaa kwa kiwango chake kichaa hicho hujionyesha pale unapokasirika,kusahau na vitu vingine.Hata wewe unaye bisha pointi hii ni kichaa mtarajiwa!!!!

Anonymous said...

binadamu wote siyo sawa tumetofautiana katika matabaka tofauti ya kidini,kijamii,kitamaduni,kiakili na kirangi suala la kuwa tuna wajali vipi vichaa hilo ni suala la mtu binafsi na mungu wake kwani baadhi ya vichaa hutembeza kipigo kwa wanachi na kuharibu mali hivyo kufanya watu kutowajali

Mwema Jr said...

binadamu wote ni sawa....matabaka yanaletwa na binadamu wenyewe....

Mtazamo News . Powered by Blogger.