MTANGAZAJI

TAWI LA CHAMA


Mi si mwanasiasa na wala sipigii debe chama fulani,nimejiuliza swali baada ya kuona kufunguliwa kwa shina la CCM katika eneo kama hili ambalo kuna mabanda inaashiria nini???Na je wanakereketwa na nini hao vijana?? na kero zao zinasikika na kutekelezwa???

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.