MTANGAZAJI

MAPANGO YA AMBONI -TANGA

Mdau akiwa ndani ya Mapango ya Amboni huko Tanga
Baadhi ya wafanyakazi wa ofisi za makao makuu ya Kanisa la Waadventista Kanda ya Mashariki mwa Tanzania zilizoko Morogoro wakifurahia jambo kandokando ya Mto Pangani,Tanga walipofanya ziara ya kuangalia vivutio mbalimbali vya kitalii yakiwemo mapango ya Amboni,ziara kama hizi ni za muhimu sana kwa wafanyakazi

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.