MTANGAZAJI

ICDB 2009

Ester Kagize toka Agape Shule ya Msingi akifanya mazoezi ya kutangaza kipindi cha watoto katika studio za AWR-Morogoro

Umemwandaaje mtoto wako kwa ajili ya ICDB 2009, ICDB ni Siku ya mtoto yautangazaji kimataifa ambayo mwaka huu itakuwa Machi 1,ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni 'Tuwape nafasi watoto kwenye vyombo vya habari' kwa maelezo zaidi bofya hapa http://childrensinafrica.blogspot.com/

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.