MTANGAZAJI

ICDB 2009 -MARCH 1,2009

Bado siku mbili tu imebaki tuifikie siku ya ICDB 2009, ICDB ni Siku ya mtoto yautangazaji kimataifa ambayo mwaka huu itakuwa Machi 1,ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni 'Tuwape nafasi watoto kwenye vyombo vya habari'.

Kwa msikilizaji wangu uliyeko Afrika usikose kumsikiliza Mtangazaji(mtoto) Ester Kagize akikuletea matangazo ya AWR kutoka hapa Morogoro ambayo utayapata kupitia masafa ya SW 2 MB 25 saa 2.00 kwa saa za Afrika Mashariki,pia unaweza kusikiliza matangazo hayo kupitia Morning Star 105.3 FM jijini Dar es salaam. Pia unaweza kusikiliza matangazo haya katika mtandao wa http://www.awr.org/

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.