MTANGAZAJI

ANGAZA SDA CHURCH- READING-UINGEREZA

Fred Manento "mzee wa gitaa" kwa sasa yuko hapa nchini sijajua nini kinamsibu asipige gitaa ama gitaa uliliacha Uingereza nini Mzee????


Kwaya ya Angaza-Reading nchini Uingereza-Champanda akiimbisha

Mchungaji Wanjara akiwa na mkewe wakati wa kumweka wakfu mtoto,wao mkwewe ni mtoto wa Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Kanda ya Mashariki mwa Tanzania Mch Jacob Gagi



Mambo ya waganda nawapenda sana hawa wenzetu kwa kuendelea kudumisha mila popote wanapokuwa,wabongo vipi tuvae vazi lipi???


Akina Mama wa Kitanzania katika kanisa la Waadventista Angaza-Reading nchini Uingereza wakiimba

1 comment

Fita Lutonja said...

Ni vizuri unatufurahisha na tunaburudika

Mtazamo News . Powered by Blogger.