NDANI YA AWR-STUDIO TENA
Mhh nimerejea tena AWR-Morogoro-www.awr.org baada ya kuimiss sana hii mic nikiwa kule jijini,Dar es salaam tangu july mwaka jana.Hapa ndani ya studio za AWR zilizopo Misufini, Morogoro Kwa taarifa tu msikilizaji wangu ni kwamba hapa ndo nilipoanzia kujua A,B,C,D za kushika MIC na masualala ya Tekelinalokujia kwa kujitolea mwaka 1997 chini ya producer machachari Mike mwana wa Kuyenga.
Post a Comment