Huyu ni Baba Ntilie akipeleka kuuza msosi maeneo fulani hapa jijini Dar es salaam usafiri wenyewe ndo huo na njia ndo hiyo sasa je kuna usalama kwa mteja wake maana hiyo njia anayoipitia na gari lake mhhh ndo kazi ipo
Post a Comment