MAISHA YA LEARNIT JIJINI DAR
All the way from Malawi( dada mwenye kitambaa cheupe) amedhihilisha ubora wa jinsia ya kike hapa chuoni kwa kuibuka kidedea katika wanafunzi bora barani chini ya mpango wa elimu ya NCC http://www.nccedu.com/ afrika katika stashahada ya kimataifa ya biashara mwaka huu-HONGERA SANA-
Niko na Harid kutoka kuleeeeeeeee Unguja( ni nchi ama kisiwa????) wananchi mnasemaje?
Himid akiwa na Mike kijana ambaye ukikaa naye kwa sekunde moja bila ya kucheka basi wewe una matatizo yabidi utembee kwa daktari wa binadamu akakufanyie uchunguzi
Hapa niko na Himid mmoja wa vijana ambao ni wahangaikaji katika maisha na ninaweza kusema asilimia 99 kama si mia ya maisha yake imetawaliwa na "teknohama" Mwaka jana mwezi wa saba ndo nilianza kozi yangu ya teknohama hapa Learn IT institute of Business and Technology nikiwa hapa nimekutana na watu toka jamii mbalimbali duniani wa rika tofauti ama kweli penye wengi pana mengi!!!!!!
Post a Comment