THE SHINE
Muziki wa nyimbo za injili aina ya acappella unazidi kuibua vipaji mbalimbali hapa nchini Tanzani. jumapili hii,nazungumzia juni 29,2008 katika kanisa la Manzese ambapo ndo kundi hili la THE SHINE linakotoka kutakuwa na uzinduzi wa albamu yao ya audio na video,audio iliyorekodiwa katika kituo cha morning star 105.3 fm kilichopo mikocheni b.uzinduzi huo ambao Mgeni rasmi atakuwa Ndugu John Chagama utawahusisha pia waimbaji wa acappella toka shemu mbalimbali za jijini Dar.
Post a Comment