CHUONI LEARN IT -DAR ES SALAAM
Jamani haya ndo maisha ninayoisha katika jiji la Dar es salaam nikitafuta elimu katika suala la tekelinalokujia katika Chuo cha Learn IT,kilichopo mtaa wa Lumumba ambacho kinatoa elimu ya chini ya www.nccedu.com hapa niko darasani na wanafunzi wenzangu.
Post a Comment