MTANGAZAJI

AHADI SAGATI

Ahadi Sagati mmoja wa waimbaji wanamtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji wa nyimbo za injili kwa hali ya juu hapa nchini Tanzania hapa akiimba katika mkutano mmoja huko Morogoro.

Ahadi pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya Graphic and Designing ya Jijini,Dar es salaam
No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.