MWL.MAPESA
Natumaini mnamkumbuka Jonathan Kambira Mapesa aliyekuwa mwalimu wa kwaya maarufu Tanzania,Magomeni SDA Choir(mwenye koti jeupe katikati) zaidi ya miaka 10,akiwa na Noah Manongi na Amri Maliyatabu na wadau wengine huko Ughaibuni(Marekani).Ahadi Sagati anauliza Mapesa kipara kimetoka wapi????????????????????
Post a Comment